Huyu mzee wa miaka 60 anapiga zaidi ya Million 300 kwa mwaka kwa kufuga bata tu.

Familia 67 zimeuaga umasikini baada ya mzee Yang wen (60) kujitoa na kuzisaidia kupitia mradi wake wa ufugaji bata alioufanya kwa miaka miwili sasa.

Mzee huyo ambaye alikuwa mwanajeshi wa jeshi la China, alianzisha mradi huo wa bata kwa mtaji wa Sh 300 million.

Sio tu kwamba Wachina wanakula kila kitu, ila katika vyakula vya kichina bata ni moja kati ya ndege mwenye thamani sana mezani.

Cheki stori yake kwa picha hapa.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com