Warembo na vitu wasivyotaka kwenye mahusiano. Kuna zaidi ya sex na pesa.

Siku hizi imekuwa rahisi kuingia kwenye mahusiano, na ni rahisi zaidi kutoka.

Lakini sio kila aingiaye anakuwa amejiandaa kutoka hivyo unakuta kuna mmoja ambaye anaumia zaidi pindi uhusiano unapovunjika.

Wanawake wamekuwa wakilalamikia wanaume kwa kushindwa kukaa kwenye mahusiano.

ingawa kuna wanaume pia wamelalamikia wanawake kuwa chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano. Hapa tumeongea na akina dada ambao wametuambia vitu ambavyo huchangia wao kumuacha mwanaume.

Maimuna:

“Wanaume wanakosea kufikiri kwamba mwanamke anataka kufanywa tu kila siku”.

“Sex haiwezi kumfanya mwanamke aridhike na kutulia. Kwangu mimi sex inatakiwa ije na vitu vingine, na sio pesa tu, pesa inatakiwa ije na vitu vingine pia”

“Ninapokuwa na bwana, mara ya kwanza utakuwa excited na kufurahia sex, lakini muda unavyokwenda katika mahusiano sex inakuwa haitoshi”

“Mkimaliza sex lazima kuwe na vitu vingine mnafanya pamoja ili kuweza kufurahia muda wenu pamoja”

“Ni vizuri mpenzi wako akiwa rafiki yako, kuna wakati unamuhitaji kwenye mambo mengine tofauti kabisa na sex”

“Anatakiwa awe mtu ambaye unamfikiria kwa mambo mengi. Haiwezekani tukikutana tu, tunafanya mapenzi na baada ya hapo hakuna hata mazungumzo.

“Au unakuta mtu anaongea pumba tupu, unajiuliza hivi mimi ndio nimelala na huyu”

“Unajikuta ukifungua mdomo nyumbani kwake kuna mawili “its either you are eating au amekuingizia kitu” I cant be in a relationship like that”

Judith

“For me I believe in emotional companionship more than physical. Siku hizi tuna wanaume wengi ambao wanajua kuzungusha kiuno tu lakini ukiwa na tatizo hata kukushauri tu hawajui”

“Unakuta mtu hawezi hata kuelewa kuwa unapokuwa kwenye siku zako unakuwa na mood swings”

“Sasa mbaya zaidi unakuta mtu ulimpa nafasi kwa sababu ya pesa zake, yeye kila unachomwambia anatoa pesa. Wengine hata kukufanya vizuri hawazi, yeye anawaza kutoa pesa tu”

“For me kabla hujanivua ch**i yangu, lazima unilainishe kwanza kwa hisia. La sivyo utanikuta mkavu tutabaki kuchubuana tu na kupotezeana pozi”

Hiki ni kisehemu tu cha mazungumzo ya akina dada na watupipo.com wakitoa stress zao juu ya wanaume wanaochangia kuharibu mahusiano. More voices coming on watupipo.com

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com