Tumepimwa amekutwa ameathirika mimi sijaathirika, sasa anataka kuniambukiza

Heka heka ya Clouds fm katika kipindi cha Leo tena tar 23 January, stori ni kuhusu kijana aliyekwenda kupima Ukimwi akiwa na mke wake mtarajiwa.

Baada ya kufanya vipimo, msichana aliyekuwa mjamzito alikutwa ameathirika, lakini cha ajabu mwanaume hakuwa ameathirika. Baada ya siku hiyo mambo hayakuwa mazuri kati ya hawa wawili hasa baada ya msichana kujifungua mtoto.

Sikiliza stori yote hapa.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com