Wananchi nusura kuchapana wakigombea kaburi la kuzikia marehemu wao

Hii imesikika kwenye kipindi cha Leo tena cha Clouds fm Tanzania. Katika segment ya Heka Heka inayoongozwa na mtangazaji Geah Habib, ametuambia kwamba stori hii imetokea huko Kigogo Dar es salaam.

Kifupi ni kwamba, kulikuwa na mazishi ya watu wawili kutoka katika familia tofauti. Lakini tatizo ni kwamba kuna waliochimba kaburi wakachelewa kufika kutokana na maombezi kuchelewa kanisani.

Lakini wengine ambao hawakuwa na kaburi, walifika makaburini mapema na kukuta kuna kaburi limechimbwa tayari japo sio wao wamechimba…

Sikiliza Heka Heka hapa.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com