Listen Live!

Trending bags. Zinazoweza kumvurugia msichana maisha.

Shida ni pale unapokutana na kitu kizuri umekipenda lakini huna pesa ya kununua.

Ndio maana akina dada wengi mijini wanaishi maisha ya kuomba omba kwa sababu, vitu vizuri vipo vingi na wanavitaka lakini kinachowatengenisha navyo ni pesa tu.

Hivi sasa unaposoma hapa kuna msichana somewhere anafanyishwa shughli za ajabu ili kusudi apate pesa ya kwenda kununua bag.

But huwezi kujua kwa nini mwanamke anaweza kudata na kujitoa kila alichonacho kwa ajili ya pochi mpaka utakapoziona pochi hizi hapa.

Hii selection yetu leo tunaiita “6 elegance”

Well, kuna wanaovumilia na kuendelea kubeba mifuko yao, lakini kwa wasichana wengi hujikita akimwaga mchele tu na kuondoka na moja kati ya hizi bags.

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com