Unaweza ukapoteza fursa kubwa kwenye maisha yako kwa sababu ya malaria.

Kipindi cha Shujaaz redio show kinachoruswa na vituo mbalimbali vya redio. Wiki hii katika kipindi hicho wametuletea mchezo wa redio unaochekesha, lakini kitu kimoja watupipo tumekigundua na sio cha kuchekelea.

Sikiliza mchezo wenyewe

Unaweza ukapoteza fursa kubwa kwenye maisha yako kwa sababu ya malaria.


Suala la kuugua malaria na kuacha dawa katikati ni la kawaida sana uswahilini. Dawa za malaria wakati mwingine zinachosha, na vijana tunahitaji kitu kiishe fasta ili mambo mengine yaendelee.

Hivyo mara nyingi tukishaanza kujisikia poa kiasi. Dawa tunaweka pembeni na tunaendelea na mishe zetu nyingine.

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com