Listen Live!

Samuel Karumbo ametengeneza gari inayotumia solar energy Eldoret

Mtupipo Samuel Karumbo ametengeneza gari ndogo inayotumia solar energy.

Hili hapa

Samuel ametengeneza gari hiyo Langas Eldoret mjini na gari hiyo ina uwezo wa kutembea kilomita mpaka 50 kwa siku.

Shout out kwako Samuel umetisha sana. Keep push ili ubunifu wako ufikie kiwango cga kuweza kutengeneza model kubwa zaidi ambazo zinaweza kukusaidia kibiashara.

Watupipo and the government should help Samuel to achieve more than this.

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com