Mpangaji anayewaliza wanawake wakati wa sex amepewa kichapo na mwenye nyumba

Mwenye nyumba amefikishwa kortini baada ya kumpiga mpangaji kisa anawafanya wanawake wapige kelele wakati wa sex.

Mwenye nyumba anayejulikana kwa jina la Stanley Mwaura wa jijini Nairobi, alimchapa mpangaji wake Samuel Gitonga kwa bakora na kumfurusha kwenye nyumba yake, kwa kuwa jamaa huwasumbua wapangaji wake kila anapofanya sex.

Kwa mujibu wa Tuko.co.ke kila mwanamke anayekuja kwa Samuel lazima apige kelele na mtaa mzima utasimama na kusikiliza session inayoendelea kwenye chumba cha Samuel.

Stanley amesema hii ni kero na alikuwa anatafuta siku ya kumfukuza Samuel.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com