Ninashindwa kumfikisha kileleni kabisa mpaka nakosa amani, naomba msaada.

Relationship problems affecting sex drive as well
Watupipo, nimekuwa kwenye mahusiano yangu kwa mwaka mmoja hivi sasa.
Tunapendana sana lakini binafsi ninahisi nina tatizo ambalo linasababisha mpenzi wangu asifike kileleni. Sijawahi kumuona akimaliza mchezo na kutoa wazungu hata mara moja.
Ninahisi labda tatizo hili linasababishwa na mimi mwenyewe kwa kukosa ufundi kitandani, lakini anasema kwamba yeye yuko sawa na anafurahia tendo na kwamba kwake hakuna tatizo.
Nimekuwa nikisoma kuhusu tatizo la wanawake kushindwa kufikisha wenzi wao kileleni na nimepagawa kuhusu jinsi ya ku-deal na hili tatizo.
Sijui naanzia wapi.
Nimefikia hatua ya kukosa confidence kitandani na kujiona pengine mimi ndio kikwazo kutokana na kukosa mautundu.

Kuna wakati tunakuwa katikati ya tendo na mara nyingine anaamua kuahirisha. Nikimuuliza anasema tayari amemaliza au saa nyingine anasema kuna kitu amekumbuka. Najisikiaga vibya sana.

 

Mpenzi wangu amewahi kuwa kwenye ndoa, ila nina amini kwamba hani-cheat maana muda mwingi tuko pamoja na hakuna message mbaya nimewahi kuiona. Imefikia wakati mwingine nakwepa kufanya sex kwa sababu ya hili tatizo.

Watupipo huyu dada ametuandikia na kuomba ushauri. Tukutane kwenye ukurasa wa Facebook tumpe ushauri.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com