Jinsi ya kumtongoza mwanamke Club.

Weekend ndo inaendelea hivyo Watupipo imeona bora iwakumbuke wadau wake kama hivi.
Kwa wale wenye mtoko Wa club au bar haya hapa mautundu yatakayo kuhakikishia kuondoka Na Mrembo unayevutiwa nae.Tusonge pamoja,

jiandae

Related image
Usafi Na kuvalia kama MTU anaeenda Na wakati Ni muhimu sana.kumbuka unaenda kwenye halaiki ya watu tena club usivae kama unaenda kanisani au bungeni.
Unyunyu utakaokuwa Wa wastani utakupa maksi zaidi.

Kuwa kidume

Image result for getting women in nightclub
Haina maana upige watu,la hasha ila jiamini ukiwa club usikae nyuma au kwenye kona,nenda kaunta!!usiiname muda wote,nyanyua kifua,usikae kwa kujibana hakikisha unachukua eneo kubwa iwezekanavyo.

Kuwa Na furaha.
Wanawake hawawapendi wanaume wenye huzuni,furahia maisha,hii itamvuta mwanamke kwako bila kujielewa!

Image result for getting women in nightclub

Anza kwa kumuangalia machoni
Hakikisha unakutanisha macho! Usimwangalie kama umebanwa Na mlango!!lainisha macho kisha angalia pembeni umpe nafasi ya kukuangalia vizuri, tabasamu!!,akitabasamu,tabasamu zaidi,mambo hayo!

Anza kumuandama
Hutakiwi kumfuata Moja kwa Moja alipokaa!msogelee kwa upandeupande la sivyo atakuona tishio!

Image result for men want women night club

Teka hisia za marafiki zake
Aghalabu demu huja Na rafikize club,jitambulishe pia wafahamu wao
Kuwa mcheshi.

Muibe toka kwa marafiki zake!!.
Ili uweze kuzama zaidi utahitaji faragha!,omba kuongea nae kando au kama unaujuzi Wa kucheza mziki kaserebuke nae  huko unajua cha kufanya,waooo!
Au unaweza kusingizia hapo mlipokaa padogo!yap kisha wahamishie katika himaya yako
Huko utakuwa huru zaidi
Kama kuchukua contacts Na mengine.

Ikiwa utacheza vizuri, kuongezea Na maujanja mengine uwezekano Wa kuosha rungu ni mkubwa sana siku hiyo hiyo!!

Kazi kwenu!!!!

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com