Kuuza viungo vya chai na kuosha viatu inaniingizia dola 115 kwa siku.

Annette analea watoto wake wawili mwenyewe na ni mfanyabiashara ambaye ameshangaza wengi kwa mafanikio yake ya biashara ambazo kwa kitamaduni zinaaminika kufanywa na wanaume.

Annette huamka kila siku saa 2 asubuhi na kuanza biashara yake ya kwanza ya siku.Hua anauza viungo vya chai vilivyofungwa Vizuri ( spiced tea)   katika eneo zuri Katika jiji la Kampala, Uganda.

Image result for packaged spiced tea

Ikifika jioni mapema kabla ya usiku anabadilisha biashara nyingine ambapo huosha viatu ya watu wanaotoka maofisini na wateja wake wa klila siku.

 

Image result for shoe shine girl

Kupitia biashara yake hiyo ameweza kununua magari manne yanayomsaidia kupanua msingi wa wateja.Amazing!

Kwa juhudi zake katika kazi zake anapeleka faida Benki kiasi cha fedha za Uganda 400,000 sawa na dola 115 kila siku, ndio kila siku!

Muda mwingine inashangaza jinsi unavyoweza kufanikiwa na jinsi utavyoziidi kunufaika zaidi kwa kuanza kidogo.Annette alianza safari yake ya ujasiriamali kwa kiasi cha dola 9 na kujitoa kwake muhanga sasa inamlipa .

Kama huyu mama mwenye watoto wawili ameweza kujichanganya nakufanya kazi hizo na kupata mafanikio hayo basi ni kina mama wengi wanaweza kufanya hivyo..

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com