Ajabu 12 zitakazokufanya uanze kumuelewa zaidi mwanaume wako.

SIO Wanawake pekee huwa na wakati mgumu kwenye mahusiano, hata wanaume hupata changamoto kadhaa.

Wengi hudhani kinadharia kuwa mahusiano kwa mwanaume ni Basic na Simple wakati wanawake ni Dramatics na Compilicated.

Ukweli ni kwamba hata wanaume huwa na wakati mgumu, na hii hutokana na personality ya mtu na sio jinsia yake.

Watupipo inakuletea baadhi ya mambo ambayo wanaume wengi wanaelezea kuwapata, ambayo yatasaidia wanawake kuwaelewa vizuri wanaume kwenye mahusianao.

Wivu ni kwa wenye pesa

Mwanaume anaweza asipate wivu kwa mwanaume handsome ambaye yuko karibu na mpenzi wake, bali atapata wivu endapo mwenye pesa zaidi yake akiwa karibu na mpenzi wake.

Related image

Wanapenda kutolewa out

Ingawa haionekani, lakini wanaume wanapenda kualikwa kwenye dates na kupewa zawadi na surprises.

Usifanye make up sana

Wanaume wengi hawapendi mpenzi apake make up sana (kujipodoa), wengi wao wanapendelea wanawake wanaoonekana kiasili.
Image result for black beauty without makeup

Kutokualika kwenye party

Wakati wanaume wengi hawapendi kuwaalika wapenzi wao kwenye party ni kwa sababu, kama ambavyo wanawake wanavyofanya ni kutaka kufurahia na rafiki zao hata hivyo wanawake huzani labda wanataka kusalitiwa.
Related image

Kusifiwa ndio nyumbani

Wanaume wanapenda kusifiwa na sifa wanayopenda zaidi akiambiwa najua una wanawake wengi. Hapo huvimba kichwa.

Hupenda kuaminiwa

Kinachomuumiza sana mwanaume ni kujua kua mpenzi wake anawaamini sana rafiki zake kuliko yeye.

Hapendi kushurutishwa

Mwanaume huchanganyikiwa sana akigundua mwanamke anatabia kama za mama yake katika kumshurutisha na kuagiza kitu kitendeke.
Image result for women with friend ignore his men

Huamini tabia za mwanamke

Mwanaume humwamini sana mwanamke haraka kama akiwa na tabia nzuri za kupendeza.

Mapenzi means sex

Mwanaume akimpenda mwanamke hufikiria jinsi gani wakifanya mapenzi itakavyokuwa.
Hapo hapo ujue mwanaume anaweza kukupa zawadi mfano uwa Rose akiwa amekupenda kweli.
Image result for black men give women gift

Anahitaji kuwa peke yake kwako

Kitu kinachomfanya mwanaume kupoteza interest na mwanamke ni kuona mwanamke huyo anavyoonyesha hisia zake kwa mwanaume mwingine kama ambavyo huwa anaonyesha kwake.

Ni protective sana

Na kitu kinachowauma zaidi ni kuona mwanamke wake au ex wake ana date na mwanaume mwingine ambaye ana-mtreate vibaya.

Mapenzi vs distance

Mwanaume ambaye anamfuata mpenzi wake haijalishi umbali gani ni kweli anamapenzi ya kweli juu yake.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com