Njia 3 za uvivu weekend zinazoweza kuwa nzuri kwa afya yako.

Na njia hizi unaweza kuzitumia weekend hii zikakusaidia kuwa na afya njema
Image result for sleeping women

Katika siku za kawaida watu wengi huwahi kuamka asubuhi sana na kuchelewa kulala, hivyo wataamu wanashauri katika siku za weekend unaweza kuchelewa kuamka ili kujazia masaa ambayo kiafya binadamu anatakiwa kulala ili mwili uweze kupumzika vizuri.

Soma vitabu.

Image result for black reading on the bed

Wakati unasoma unaupa ubongo wako mazoezi na kama unasoma kitabu ambacho ilishawahi kukisoma unapata zzaidi faida.Inadaiwa kuwa unaposoma kitabu kwa mara nyingi unaweza kuwa connected na wahusika kihisia na kuweza kuufanya akili yako kufanya kazi haraka.

Angalia Muvie.

Related image

Watafiti wanaonyesha kuwa kucheka katika muvi za vichekesho inafaida kwa mishipa ya damu hivyo ni nzuri kwa moyo wako.Na kama ni muvie za kutisha pia ni nzuri zaidi ambapo wataalamu wanadai kuwa kuangalia muvi hizo kwa dakika 90 inaweza ku burn up 113 caloris za ziada katika mwili.

Watupipo inakutakia weekend njema.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com