Fahamu jinsi ya kuachana na Mchepuko ili Ubaki njia kuu.

1. Unapokuwa upo pamoja na mchepuko au wahenga wa hivi karibuni huita hawala, unachotakiwa kufanya ni kumsimulia mchepuko wako mambo mengi mazuri ambayo huwa unafanya uwapo na njia kuu.

Kama hiyo haitoshi msimulie mchepuko kuhusu uzuri wa njia kuu pasipo kuona aibu wala kukosoa uzuri na ubaya wa njia kuu.

Kufanya hivyo itamsaidia mchepuko huyo ajisikie vibaya kwani michepuko mingi huwa haipendi kusikia habari zinazohusu njia kuu.

Related image

2. Punguza mawasiliano na Mchepuko.
Nafahamu fika wakati unapoanza mahusiano na huyo ambaye unamuita after baby mawasilino yalikua ni mazuri sana.

Related image

Vivyo hivyo kama unataka kuachana na mchepuko wako basi unatakiwa kufanya ni kufanya kinyume chake, yaani mawasilino yawe ni finyu ikiwezekana yafe kabisa. Muda mwingine akikupigia simu ona kama umeona moto unaowaka.

Mpaka kufikia hapo si la ziada mwisho nimalize kwa kusema ” Mchepuko ni dili feki, tafadhari baki njia kuu.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com