Fanya hivi kila mwanzo wa mwezi ufanikiwe.

Usisibiri ufike mwaka mpya ili kufanya mambo unayotaka kuyafanya, fikiri kufanya mambo hayo kila mwezi ili kutimiza malengo uliojiwekea kwa mwaka..

Watu wengi  kutokana na kuwa buzy kufanikisha malengo yao wengi huchoka na kuacha au kusahau kumaliza baadhi ya mambo.

Watupipo inakuletea Tips 5 za kufanya kila mwanzo wa mwezi ili kufikia malengo.

Start Over Each Month - Paper and Landscapes

Tegesha Alarm.
Ndio tunajua kuwa ni siku ya kwanza ya mwezi tumeshaona kwenye kalenda au kwa kuangalia katika simu, weka alarm kwenye simu hiyo ambayo itakua ikikukumbusha kuwa mwezi umeanza na hapo hapo itakufanya ukumbuke malengo yako na nini ufanye ili kukamisha, kwa hiyo itakuandaa kiakili jambo gani utilie mkazo.
Start Over Each Month - Paper and Landscapes
Andika malengo yako.
Mwanzoni wa mwezi kaa chini na kuandika malengo yako ya mwezi mzima.Inaweza kuwa ni vitu ambavyo tayari umeshavifanya au kuvijaribu, ukigundua hujakamilisha baadhi ya vitu hivyo anza upya hii itakusaidia kukupa Inspiration ya kuweza kuyafanya ufanikiwe zaidi.
Ukifanya kwa kuandika chini itakusaidia kuona malengo hayo yako real kuliko kuyafikiria tu kichwani.

 

Start Over Each Month - Paper and Landscapes
Ongeza kitu flani cha kufurahisha.
kwa kuwa malengo mengi ya kazi huwa sio marahisi kuyafikia huwenda yakawa yanafanya ujihisi kuzidiwa na kukatisha tamaa.
Ongeza vitu vitakavyokufanya u smile uwe na furaha mfano kupata muda na marafiki nk. itasaidia kutimiza mengine yalioko kwenye list kwani utajisikia kuwa kila kitu ni  sehemu ya maisha yako.

Image result for black women fun

Hamasika.

Tafuta namna ya kuandika malengo yako kwa style ya kuhamasika kuyafanya.Kwa njia ya simu ndio rahisi tafuta app kama Google Keep ambayo itakuwa ikikumbusha mara kwa mara.

Angalia maendeleo yake.
Hii unaweza kuifanya kila mwisho wa mwezi au kila wiki.Andika vitu ambavyo umefanikiwa kwa mafano hukumaliza kusoma kitabu chote lakini ulisoma page 20 ni mafanikio mazuri pia.
Itakufurahisha kama ukiona baadhi ya mambo um,eyatekeleza au at least umejaribu kuyafanya hii itakuinspire kwa mwezi ujao.

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com