Kabla ya Ndoa jiulize maswali haya ya muhimu.

Sio rahisi kuwa na bahati katika mapenzi, unaweza kuamini mambo yanaweza kwenda kama vile ulivyopanga na kutimiza ndoto za kuwa familia.

Watupipo inakuletea maswali 10 ya kujiuliza kabla ya kuingia katika kitanzi cha ndoa, ili kuepuka kuvunjika moyo (heartbreak)

Utafiti unaonyesha kuwa ili mahusiano yadumu kwa muda mrefu ni lazima kwanza kati ya wawili hao wanaopendana kuwe na urafiki, kuheshimiana na matarajio ya ukweli(realistic expectations).Na katika maswali ambayo ni ya msingi wawili hao  wanatakiwa wajiulize  ni kama ifuatavyo.

 

Je mpenzi wangu na mimi tunaendana?

Je tunamsingi wa urafiki?

Je! Tunataka vitu sawa katika uhusiano wetu na nje ya maisha?

Je, matarajio yetu ni kweli?

 Je, kwa kawaida kila mmoja wetu anaridhika?

 wote kati yetu tunafanya kazi ya kudumisha mahusiano yetu.

 Je wote tunahisia za uhuru wa kujadiliana mambo na kuibua hoja nyingine.

Image result for two black beauty lovers

Je! Sisi wote tumejitolea kuvumiliana katika nyakati ngumu?

Kwenye mazingira magumu tunaweza kujipanga na kupita wakati huo pamoja.

Je! Sisi pamoja  tuna watu wengine wa karibu wanaotuunga mkono ?

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com