Njia tano kali za kupata mtoto wa kiume.

Zifuatazo ni njia hizo .

Hakikisha unashiriki tendo la ndoa siku mayai ya mwanamke yanapokua yameshuka{ovulation}
Ukishiriki tendo la ndoa siku hii ambayo yai linakua limeshuka    mbegu za kiume huweza kufika mapema na kujiunga na mayai ya kike  na kutengeneza mtoto{fertilization}hii ni siku ya 14 kabla ya kuona damu ya mwezi unaofuata sio baada ya kuona siku zako.

Kama wewe ni mwanamke hujui siku yako ya ovulation fanya hivi.

1. Pima joto lako la mwili.Nunua kipima joto (themometer) na kisha joto lako kila asubuhi, siku okiona joto limeongezeka kidogo ujue umeanza ovulation na hivyo ndio siku muhimu ya kutafuta mtoto.

 

Related image

Angalia maji maji ya uke: kawaida maji ya uke hua mazito na kuvutika kama maji ya mayai mabichi wakati mwanamke anapoanza ovulation..

2. Wewe mwanaume ongeza idadi ya mbegu zako..{sperm count}

Mwanaume anatakiwa aongeze wingi wa mbegu zake hasa kwa kukaa siku mbili mpaka tano bila kushiriki tendo la ndoa wakati akisubiri mwanamke wake aanze ovulation.

Njia zingine za kuongeza mbegu ni weka korodani kwenye hali ya ubaridi:

kawaida korodani hutengeneza mbegu nyingi wakati wa hali ya ubaridi kuliko joto  hivyo mwanaume anatakiwa kuepuka kuvaa nguo zilizobana sana, na  kuwekalaptop kwenye mapaja acha kuvuta sigara na kunywa pombe:wanaume wanaokunywa pombe na kuvuta sigara hua na mbegu kidogo sawasawa na wavutaji wa bangi.. matumizi ya dawa za cancer pia husababisha uzalishaji wa mbegu kidogo sana.

Image result for smoking and drinking

3.Tumia style za ngono ambazo zinahamasisha muingilio mkubwa{deep penetration}

Hii huzipa faida mbegu za mtoto wa kiume{XY} kufika haraka na kufanya fertilization na upande mwingine, muingiliano mdogo{shallow penetration}husababisha mbegu kumwagwa mbali na mlango wa mfuko wa uzazi hivyo mbegu huweza kukutana na hali ya tindikali kwenye uke hivyo mbegu za mtoto wa kiume  kufa haraka na kuziacha mbegu zinazotoa mtoto wa kike.{XX}.

Image result for sperms evaluate eggy

 4.Hakikisha mwanamke anafika kileleni.

Mwanamke anapofika kileleni hutoa maji mengi ukeni ambayo hupunguza wingi wa tindikali ambayo ni adui wa mbegu  zote hasa mbegu za mtoto wa kiume XY ambazo hua haziwezi kuvumilia hali ngumu ya kimazingira.

5.Usifanye tendo la ndoa kabla na baada ya ovulation.

Kabla ya ovulation mbegu za mtoto wa kiume XY hufika haraka kwenye mfuko wa uzazi  kama kawaida na kukuta mayai ya mwanamke hayajafika na kufa vivo hivyo baada ya ovulation

Related image

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com