Kuangalia TV usiku kunaweza kukuongezea unene.

Watu ambao huchelewa kulala na kuangalia TV au kutumia Computer wanaweza kuongezeka unene mkubwa.

Wataalamu wa afya wanadai kuwa kuchelewa kulala kunasababisha kuharibu mpangilio wa kula na kusababisha watu hao kula wakati ufiofaa.

Related image

Ushahidi huo ulithibitishwa kwa utafiti wa wanyama (panya) walipokuwa wakiwashiwa taa usiku waliendelea kula na kuongezeka uzito.

Image result for late tv watching and eating, fat

Waliongezeka uzito kwa asilimia 50 zaidi tofauti na panya wengine waliokuwa wanapewa diet ya kawaida na kuwekewa mwanga wa kawaida na kwa cyle ya kawaida ya siku.

Kuwawashia mwanga wa taa usiku kulisababisha panya hao kula zaidi bila mpangilio,Hivyo hivyo effect hiyoinaweza kutokea kwa binadamu ambao wanakula muda wa usiku sana wakiwa wanangalia TV au computer.

Inawezekana kuwa waatu hao huaribu mfumo wa kawaida wa kimetaboliki na kuongezeka happetite na hivyo husababisha kuongeza unene zaidi kwa muda mfupi.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com