Madhara ya kutofanya mapenzi.

Ni wazi kuwa ukifanya mapenzi mwili wako hunufaika kwa njia kadhaa. Wajua kuwa ukikosa kufanya mapenzi utapata madhara kwa mwili wako?
Haya ndiyo hufanyika unapokosa kufanya mapenzi

1. Kupatwa na mapungufu ya akili

Kufanya mapenzi humfanya mtu kuwa mwerevu kwa njia fulani. Utafiti unaonyesha kuwa kutoshelezwa kimapenzi humfanya mtu kuwa na akili zaidi na uwezo wa kukumbuka

2. Kukosa uwezo wa kufanya mapenzi

Wanaume ambao hawafanyi mapenzi muda kwa muda hupata shida ya kusimamisha mkuki.
Image result for men not satisfied

3. Kukosa kujiamini

Kufanya mapenzi ni njia ya kujizoesha na mtu nwingine. Kama haufanyi mapenzi mara kwa mara, hupunguza homoni fulani za mwilini zinazoongeza kujiamini.

4. Hupunguza kiwango cha mafuta ya misuli

Misuli na mifupa huitaji mafuta ya kuilainisha hivyo kusaidia mwili kufanya mambo mengi. Kulingana na wataalamu, kufanya mapenzi sana huchangia kuongezeka kwa mafuta ya ulainishaji hasa kwa wanawake. Ukosefu wa kufanya mapenzi huchangia kujihisi mkavu sana hasa katikati ya jointi.

5. Huchangia kwa magonjwa ya kibofu

Madhara ya kutofanya mapenzi!
Mfuko wa mkojo huitajika kuwa mgumu zaidi ili kuepuka kutoboka. Wakati unafanya mapenzi, misuli hupanuka na kujikunja na hivyo husaidia kulinda kibofu.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com