Nimemkuta mume wangu anafanya mapenzi na housegirl.

Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV.

Wakati niko njiani kuelekea Job gari langu likazima ghafla kiasi cha umbali wa kilomita moja hivi kutoka nyumbani.

Nikaona nitembee mpaka nyumbani ili nimwombe mume wangu aje anisaidie kutengeneza gari, Kwa mshangao wangu nikamkuta mume wangu akiwa chumbani anamshughulikia¬† mfanyakazi wa ndani wa jirani yani hata mimi huwa hanifanyii hivyo…

Image result for black men cought with house cleane

Mume wangu ana umri wa miaka 43 na mimi 39 na msichana huyo anamiaka kama 19 hivi.

Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10.Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa na mahusiano na binti huyo kwa muda wa miezi sita.

Nimeshindwa la kufanya nahata nikiamua kuondoka ni kama nitakuwa nimempa nafasi yule binti na hata yeye akiondoka sitakuwa na amani kwani huenda wakawa wanawasiliana na kukutana huko.

Hata hivyo pamoja na kuomba msamaha bado nafsi yangu haiko tayari kumsamehe kwani nimepata aibu sana hasa ukizingatia nilivyokuwa najitapa kuwa mume wangu katulia, akirudi nyumbani ni kutulia tu ndani na hata siku za weekend hapendi kutoka mimi ndio natokaga kwa ajili ya shughuli zangu nyingine kumbe nyuma ndio namuachia nafasi.

 

 

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com