Sababu 4 za wajasiriamali wanawake ambao ni single kukwepa ndoa.

Hali ya kiutamaduni kwa sasa imebadilika, idadi ya watu kuwa single inazidi kuongezeka kuliko idadi ya watu waliofunga ndoa.

Majukumu ya kijinsia yamebadilika na wanawake pia sasa kwa wingi wanamaliza vyuo na kuingia kazini kushinda wanaume. Wanaingia kufanya kazi na kuachana na habari za ndoa ili kufanikiwa katika career zao na ujasiriamali.

Hizi hapa ni sababu 4 ambazo wanawake single wajasiriamali wanakwepa ndoa.

Uhaba wa  Role models.(Mfano wa kuigwa)

Image result for succes black women with family

Kunauhaba wa wanawake viongozi kwa ujumla na wengi wao waliofanikiwa wanaonekana kupambana wenyewe au waliotalakiana.Bila kuwa na wanawake wa mfano wa kuigwa ambao wanafurahia ndoa zao itakua ngumu sana kubadili hilo.

Kama unaataka kutafuta mume angalia role model ambao ndoa zao zimefanikiwa, usipoteze muda wako na drama za mapenzi fucus kwa kile unachotaka kukijenga katika mahusiano.

kukosekana kwa Muda.

Image result for single women no need men

Kuanzisha biashara inachukuwa muda mwingi.Hasa pale unapokuwa umevutiwa na kitu ulipenda kukifanya maishani drems’.Mapenzi yote yanahamia katika biashara yako na kunakuwa na nafasi ndogo katika maisha yako binafsi.

Hofu ni kwamba kama ukikitana na mpenzi itakubidi ucheat biashara yako kwa mpenzi wako mpya na biashara yako itakuwa ikisuffer.

Lakini Unaweza kujigawa pamoja na kuwa na ndoto za mafanikio pia unaweza kupata muda wa maisha yako ya kijamii na familia pia.

Hofu ya kuloose control.

Image result for boss lady loose control

Boss lady anapenda ku run kilakitu.Anataka kucontrol biashara yake,mambo ya fedha na ndoto yake.Hofu kubwa ya wajasiriamali wanawake waliok ssingle ni kwamba mwanaume akiingia anaweza kuharibu maisha yake.Hataki kutegemea mtu yoyote kuhusu maamuzi ya biashara yake hasa mambo ya fedha.

Ukweli ni kamba hakuna mtu anaweza kuharibu maisha yako bila ruhusa yako mwenyewe.Unaweza ukawa na maamuzi katika biashara yako na maisha ya nyumbani kama utampata mwanaume ataekuwa anakuheshimu na kuku sapport.

Hofu ya Kuvurugika mambo(Distraction)

Image result for single women no need men
Watu wengine huona mahusiano ni kivuruge cha malengo yao.Kukamatika na mahusiano ya mtu mwingine huwapelekea hofu hisia zao kuweza kuharibu na kuingilia flow ya kazi zao.
Hofu ya kujikuta umezama kwenye mapenzi zaidi na kujisahau kufanya mambo ya msingi mbaya zaidi ni pale mahusiano yanapovunjika kupatwa na heartache na kuweza kuvuruga hisia na kushindwa kufocus na kufikiria vizuri kuhusu malengo ya kampuni, hivyo huamua kuwa single na sio kurisk biashara zao.
Lakini ukweli ni kwamba mahusiano sio ndo chanzo cha matatizo mapya.Kama utakuwa na hofu ya hisia zako na watu wengine inawezekana pia ikaingilia kazi yako.
Kama ni hofu ya kuwa distracted think out of the box, Inawezekana hata unaofanya nao kazi pia ikatokea hali kama hiyo, kwa namna moja ama nyingine  kuogopa ni kushindwa kutafuta namna ya kukabiliana na changamoto  inaweza kuharibu biashara yako.

Kama kweli unataka kweli kuolewa na kuwa na familia inawezekana, angalia mfano mzuri wa kuingwa kwa waliofamikiwa hilo na kuwa na furaha, biashara yako inaweza kuendelea tu hata ukiwa kwenye mahusiano usisuburi tu kwamba atatokea mtu kutoka mbinguni aje ku fit kama unavyotaka…if you real want go fo it..

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com