Scene nne (4) kali kutoka kwenye movie za van Damme: Enjoy!

Kick boxer ni moja kati yamovie kali za Van Damme ambazo zimetufurahisha kwa miaka mingi movies.

So kutana na scene 4 za mapigano makali, kutoka kwenye  movies tofauti za Damme.

Hizi hapa ni scenes toka kwenye movie ya Bloodsport

Damme bado yuko na anaendelea kuwa msaada mkubwa sana katika ulimwengu wa sanaa duniani. Share na wakali pia kupittia mitandao.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com