Hatua hizi tatu ukizifuata, utaongeza ufanisi wako kwa kusikiliza zaidi.

Kusikiliza ni kifaa muhimu sana cha kukuweka katika uborawako. Sababu kuu za kusikiliza ni;

  • Kuburudika

  • Kupata information

  • Kupata elimu

  • Kuelewa

Tafiti zinasema, binadamu anaweza kukumbuka kiasi cha asilimia 25 au 50 ya mazungumzo anayofanya kwa dakika 10.

Hizi ni dakika chache sana.

Hizi hapa tricks za kuwezesha wewe kuwa msikilizaji bora na kukufanya uwe na ufanisi katika kila idara.

1. Hakikisha unampa nafasi ya kuzungumza, na usijaribu kusikia baadhi tu ya maneno na kujaribu kuunganisha maana ya mazungumzo hayo.

2. Acha kufanya mambo mengine wakati wa mazungumzo. Rudisha akili yako katika mazungumzo. Wakati huu hata simu tu ni shida.

3. Uliza masawali kama kuna kitu hujakielewa. Kumbuka kuwa hapa unachofanya ni kuelewa mazungumzo na sio kusikiliza tu. Sikiliza uelewe.

Kuna mbinu kibao za kukufanya uwe msikilizaji mzuri. Lakini kitu kizuri ni kwamba, unaweza kumega mbinu moja moja kila siku mpaka ujikute umeshakua master wa kusikiliza. #Uborawangu

Je umesikiliza watupipo radio tayari? Check out mziki mpya wa Africa mashariki pamoja na vipaji vipya vya wachekeshaji kutoka Kenya, Tanzania.

Tembelea watupipodotcom Instagram na twitter au facebook, kufurahia stories zaidi za burudani na kuchangia stories zako mwenyewe.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com