Watch out; Wanaume kama hawa hawatakoma kukupigia simu.

Mtandao wa OMG umeripoti aina ya wanaume watatu, ambao kamwe hawatakuacha bila kukupa salamu au kukupigia simu, hata kama muda mrefu umekwenda tangu mkutane mara ya mwisho.

Mwanaume ambaye umemuahidi mapenzi (sex)

Ingawa siku hizi sex inaonekana kitu cha kawaida sana kwa baadhi ya watu, lakini asikwambie mtu mrembo, mwanaume ukimuahidi sex ni lazima akutafute tena na tena mpaka afanikiwe.

Mara nyingi wanaume tunapata mihemko hasa kama mtu aliyekuahidi sex ni mrembo, ile image yake inapokujia akilini, na ukakumbuka siku aliyokuahidi na maneno aliyoyatumia kwenye ahadi yake… mrembo atashangaa tu tenje imeita.

Ex-boyfriend ambaye bado anakutaka

Hawa jamaa huwa ni wale walioachwa au kuachana wakati bado mioyo yao inataka kuendelea. Mtu kama huyu ataendelea kukutafuta hata kama miaka imepita tangu muachane.

Mwanaume tegemezi kwako

Mwanaume ambaye umemzoesha kumfanyia vitu na kumpa mapenzi juu, huyu kashageuka kupe usipoamua kumkatia waya.

Mwanaume tegemezi huwa anaenda kuzurura na kufanya mabaya yake lakini anajua ni nani anamsaidia.

Mwanaume anayekupenda kwa dhati

Japo siku hizi wanasema mapenzi hakuna, lakini kuna wanaume wengi sana duniani wana mapenzi ya kweli na hawaogopi kuyaonesha.

Kama mwanaume anakupenda kiukweli lazima atataka kukupigia kila saa ili usimsahau.

Rafiki yako wa kawaida.

Kunama baadhi ya wanawake nafahamu kwamba mnapenda kutongozwa na kufuatiliwa. Lakini wengine wengi hiki kitu hakiwafurahishi maana kinawaonesha jinsi mlivyo vulnerable.

Cha msingi kama hutaki mtu akupigioe simu, unachopaswa kufanya ni kumpigia simu, yaya na kumwambia humtaki na umesha-move on.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com