Hii ndio amount wakenya Wanaongezea Uhuru and Ruto this year.

Mshahara wa rais Kenyata na Deputy William Ruto unaongezwa kwa kiwango cha 3.9%. Kiwango hiki kinaonekana kuwa kidogo ukizingatia kwamba inflation mwaka 2018/2019 ilikua ni 4.3%.

Salary za viongozi hawa zilipunguzwa mwaka 2017 baada ya serikali kutangaza kuwapunguzia mshahara baadhi ya viongozi wakuu. Hivi sasa malipo ya viongozi hawa kwa sasa ni Ksh36.6 million ($362,000) lakini baada ya mabadiliko haya watachukua kiasi cha Ksh38 million ($375,884).

Mshahara wa rais wa Kenya ulipunguzwa kufikia Ksh1.44 million ($14,244) a month from Ksh1.65 million ($16,321), wakati Deputy ruto akichukua Ksh1.23 ($12,166) kutoka Ksh1.4 million ($13,848).

Hata hivyo usishtuke sana kwa sababu wawili hawa bado wanapata allowances za Ksh 15 million. Ambapo kwa ujumla watakwenda nyumbani na Ksh 38Million. Hata hivyo kuiwango hiki ni pungufu ya amount ambayo walikuwa wakilipwa ya Ksh 51.2 ambayo ilipunguzwa June 2017 kwa asilimia 25%.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com