Je ndoa hii mpya ya Bobi Wine itamsaidia kuongeza influence au itampoteza?

Kyadondo East MP Robert Kyagulanyi au maarufu kama Bobi wine ameungana na aliyewahi kuwa mgombea uraisi wa Uganda Dr Kiiza Besigye kwa ajili ya kuongezea nguvu harakati zao za kuitoa serikali inayoongozwa na rais Museveni.

Baada ya kukutana viongozi hao wawili wakatoa tamko kwamba wanaungana ili kuikwamua Uganda kwenye upongozi wa Kidikteta wa rais Museven.

Sehemu ya statement yao inasema kwamba ingawa tuna miundo tofauti lakini lengo letu kuu ni moja na tumeaona ni vema tukaunganisha nguvu zetu katika kuikomboa Uganda.

Right now n Uganda viongozi na wamiliki wa media wameazimia kufanya mabadiliko ya waandishi kutokana na malalamiko ya serikali juu ya attention anayopatiwa Bobi wine na media hizi. Ishu hii imeamsha mawazo kuhusu uhuru wa vyombo vya habari.

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com