Sasa tunajua, hizi tamaa za wachache ndio zime-sabotage Wakenya wote – #survey

Viwanda vya Kenya vinafanya kazi chicni ya kiwango hivi sasa kutokana na challenges kama vile ukame, rushwa na cash crunch. Hii ni kutoka kwa survey ijulikanayo kama manufacturing barometer. Iliyofanywa na Umoja wa wazalishaji nchini katika quarter ya kwanza ya mwaka 2019.

Imegundulika kuwa kati ya wazalishaji wa viwanda 47% wameonekana ku-produce kwa kiwango cha nus utu ya uwezo wake huku 33% wakizalisha kwa ukubwa wa 75% huku 5% tu ya wazalishaji ndio wanaweza kufikia full capacity.

Uzalishaji na viwanda ni moja kati ya zile big four agenda zilizomweka rais Uhuru Kenyata madarakani, huku akiamini kwamba sekta hii ndio inatoa ajira nyingi. Lakini challenges kama vile, uingizwaji wa bidhaa za nje, electricity tariffs kuwa juu, vinafanya sekta kushindwa kuzalisha to the full installed capacity.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com