Listen Live!

Here are casual weekend out dresses for plus sized millennial. Mapigo ya hatari – #Boyfriendrecipe

Plus size women are hot! Play video, or scroll for the pictures to see more.

Who said a guy cannot review female fashion? Wanaume ndio tunongoza kwa kufurahishwa au kuboreka when a lady amepita hajapendeza au amependeza. We are the best at judging what to look and what to ignore and ladies itabidi mtuache tukifurahisha macho na hizi nice dresses kama alizovaa huyu model.

Ni dress gani ambayo mrembo akivaa anavutia zaidi? Hili swali liunategemea na “Anakwenda wapi?” Niko na swali kwa jamaa zangu, kama huyu mrembo kwenye video angekua ndio mrembo wako na mnataka kutoka out. Utamchagulia pigo gani kati ya hizi hapa

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com