“Alipokuja nyumbani na mimba ikabidi nikimbie kwanza” – True story na DJTee

Jamaa baada ya kugundua kwamba msichana wake alikua na mimba na yeye hana kitu alipagawa. “Nilikua naongea mwenyewe njiani”
Baada ya kukimbia nyumbani na baadae kurudi, amesimulia stori nzima na maisha yake na msichana wake yalivyo kwa sasa.