Listen Live!

EFM 93.7

Ukifika Dar es salaam na mikoa mingine Tanzania, kila baada ya hatua kadhaa ni lazima usikie EFM. Sababu ni moja tu, they are BIG kiasi kwamba imewafanya walioko kwenye stations kubwa kupoteza idadi kubwa ya wapenzi wakakimbilia EFM 93.7 Dar es salaam. The station has done amazing stuff kwenye muziki wa kisingeli and now is actually the best new radio station in Dar es salaam and in the country. Lets give it more time before we see it at number one in the country.

MUZIKI UNAONGEA

 

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com