JIKUMBUSHE MAGUFULI KABLA YA URAIS. sakata la wachina

Sio urais tu, rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa na historia ya kupiga kazi tangu alipokuwa waziri. Hii ilikuwa ishu ambayo wachina walikamatwa wakivua samaki katika ukanda wa Tanzania bila kuwa na kibali. Samaki na meli ya wachina hao ilizuiwa wakati kesi ikiendelea.

Mtangazaji wa zamani wa Zingatia size ya kipindi cha XXL ya Clouds fm, Abdulkweli aliipata stori ya ushindi wa wachina hao wakati ambapo mahakama iliamuru fidia ilipwe. Fuatilia Episode hii fupi ya kuchekesha.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com