PODCAST: Utajisikiaje daktari akikuambia karibu tena baada ya kukupatia tiba?

Ni kawaida ukiwa Africa mashariki kukutana na mtoa huduma ambaye atakuambia karibu tena baada ya kukuhudumia. Lakini vipi kama umeena kununua casket (jeneza)?

Katika kipindi cha Shujaaz radio show, vijana mbalimbali walikutana na hili suala lilijadiliwa.

“Huwezi ukamwambia karibu tena, lazima umpe mtu moyo kwamba hiki kilichotokea Mungu atakusaidia” alisema msichana anayaitwa Shishi.

Sikiliza haya majibizano na mapovu kwenye discusion iliyoongozwa na mtangazaji H2K.

 

Watupipo

I am the moderator.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com